37 Waitwa, mwovu, na Bwana

1.  Waitwa, mwovu, na Bwana

Umwendee hima sana,
Usafiwe dhambi zako,
Humwoni ni mwema kwako?

Chorus:
Unaitwa! Itika tu!
Umwendee Bwana Yesu!
Sifiche makosa yako,
Uungame dhambi zako!
Kristo tu umuamini,
Ndiyo njia ua Mbinguni.
 
2.  Alilipa damu yake
Alikufa yeye Bwana,
Mimi nawe tuwe wema.
 
3.  Ukifanywa kuwa mwema
Utaingia rahani
Na wapenzi wa zamani.
 
4.  Ni mwanga tu, nchi ile,
Kwamba wataka ufike
Sharti huku uosheke.

Comments

Popular posts from this blog

52 Yote namtolea Yesu

41 Yesu aliniita