42 Kivulini mwa Yesu

1.  Kivulini mwa Yesu kuna Kituo:

Kituo mbali na hamu, kituo kilicho tamu.
 
Chorus:
Kivulini mwa Yesu kuna kituo;
Kivulini mwa Yesu kuna kituo;
Raha tu, mle; amani tupu.
Furaha tele; kivulini mwa Yesu
Raha tu, mle; amani tupu,
Furaha tele; kivulini mwa Yesu.
 
2.  Kivulini mwa Yesu nina amani
Iliyopita fahamu, tena itakayodumu.
 
3.  Kivulini mwa Yesu nina furaha;
Furaha yenye fahari, ya kueneza habari.

Comments

Popular posts from this blog

37 Waitwa, mwovu, na Bwana

52 Yote namtolea Yesu

41 Yesu aliniita